Thursday, October 29, 2009

Dada Subi:- Kutangaza mabadiliko ya tovuti

Naomba nafasi katika blogu yako kuwataarifu wasomaji kuwa tovuti ya mpya ya wavuti.com imechukua nafasi ya iliyokuwa nukta77.com na nukta77.blogspot.comNaomba yeyote aliyekuwa ameweka linki ya nukta77 aihariri na kuweka wavuti.com
Karibuni sana kutembelea kwa taarifa za nafasi za masomo na kazi kwa burudani na bila kusahau habari na porojo!Asanteni.wavuti.com

2 comments:

  1. Asante nawe kwa kunipa nafasi ya kutoa tangazo katika blogu yako.

    ReplyDelete