Wednesday, October 21, 2009

HONGERA KWA SIKU YA KUZALIWA KAKA,MJOMBA,SHEMEJI NA RAFIKI PIA JAMAA YETU!!


Hapa ni Mikumi 2005!!
Imefika siku nyingine tena, ya kumpongeza kaka yangu mwingine siku yako ya kuzaliwa. Najionea fahari sana kuwa na kaka wengi. Huyu ni kakangu wa tano kuzaliwa na leo ametimiza miaka makumi matatu na kidogo!!!!!






HONGERA KAKA SELAFIM KWA SIKU HII MAALUMU KWAKO UWE NA WAKATI MZURI.

5 comments:

  1. hongera sana, na mungu akujaalie kila lililo jema maishani.

    ReplyDelete
  2. Hongera sana kaka kwa siku yako hii ya kukumbukwa,mungu akujalie maisha marefu sio tu makumi kadhaa,bali ma mia kadhaa....lol.

    ReplyDelete
  3. hongela wakunyumba kwa kutimiza makumi matatu na kidogo na kutakia kila la heri katika safari ndefu ya maisha yako.

    ReplyDelete
  4. Hapo mikumi akiibuka simba ghafla inakuwaje?
    Hongera sana kwa kuazimisha siku yako ya kuzaliwa

    ReplyDelete
  5. Hongera sana kakangu Sela na wasalimie wote huko Mbeya. Nakutakia maisha mema na marefu. Wote hapa nyumbani wanakupongeza sana.HONGERA

    ReplyDelete