Saturday, September 19, 2009

U-MODO WA SIKU MOJA = RAHA JIPE MWENYEWE NA PIA JIPENDE MWENYEWE KWANZA

Hapa vipi tena?
Leo saa sita mchana.

Mawazo mpaka nywele zawasha

Hapa ndo mawazo yamezidi kiasi kwamba nimekuwa kama nyani.
JUMAMOSI NJEMA KWA WAOTE NA POPOTE MLIPO.


19 comments:

  1. Hapa mi sisemi jambo kwani ni maelekezo yanayokidhi,ahsante mwalimu

    ReplyDelete
  2. We mbunifu sana, maana leo kwenye blog nyingi hamna kipya ukaona utuchangamshe kidogo na kweli umefanikiwa. HONGERA

    ReplyDelete
  3. Duh! Naomba niseme kitu....mmh!
    Anyway....upo chicha parefu.
    Umepe....umependeza kweli Yethu na Maria.

    ReplyDelete
  4. du, ama ni lazima kujiraha mwenyewe! mie hicho kikuku tu!!

    ReplyDelete
  5. Kwa umodo huu, Yasinta umeshinda tayari, ingawa sijajua aliyeshindwa ni nani. Lakini ukweli ni kwamba unalipa! Walau watu wameweza kuona hata figa yako iliyojificha siku nyingi. Hongera!

    ReplyDelete
  6. HA HA HA HAAAAA!!!!
    JAMANI DADA YASINTA KWA VITUKO...MAWAZO+NYWELE KUWASHA-UMODO=WEWEEE KAAAAAZI KWELI KWELI........LOL

    ReplyDelete
  7. Duh! dada mie nataka kujua hayo mavazi ni fasheni gani?...... jamani ushamba huu...LOL

    ReplyDelete
  8. Hauvumi lakini umo!!! Ngoja nami nitakutumia ya kwangu ha ha ha ha ha

    ReplyDelete
  9. NAWAPENDENI WOTE KWA KUTOCHOKA KUPITA HAPA NA KUACHA YETU MAONI. lEO NILIAMUA KUCHEZA KIDOGO YAANI KAMA MODO ANGALAO KWA SIKU MOJA ILA SIKU NYINGINE NTAJITAHIDI KUCHEZA NA LIZOMBE:-)

    ReplyDelete
  10. yangu macho na masikio tu!!!

    kama ulikuwa na mawazo ulimhitaji mutu kama kaluse akujuze namna ya kupunguza ili nywele zisiwashe kwa kutumia utambusi, ama!

    ReplyDelete
  11. Simon Shukrani kwa sifa nzuri:-)

    Chacha Wambura nawe asante na pia asante sikujua kama kaka Kaluse ni kinyozi ila hapo ni mawazo yalikuwa yanawwsha.

    ReplyDelete
  12. Yasinta una hatari wewe si kidogo! Nimecheka mpaka basi. Shukrani sana.

    ReplyDelete
  13. Da Mija hizo ni bwebwe tu karibu sana tena na tena ili kubadili mawazo na kuona hatari zangu:-)

    ReplyDelete
  14. yaani mimi kuona picha tu na maelezo yake nimecheka mpaka bac, sasa bac nilipokuja soma coment ndio dah nimekufa mbavu zangu hoi, yasinta punguza utungu umekuwa wewe

    ReplyDelete
  15. Nafurahi usiye na jina kama umecheka mpaka hoi. Na hapana mie si mtundu nilitaka kuwafurahisha tu kama ulivyofurahi.

    ReplyDelete