Wednesday, September 9, 2009

HAPA VIPI SASA JAMANI? NAONA KAMA...AU?

Je? hii ni kawaida na haki? Kaaazi kwelikweli!!!!

10 comments:

  1. Tunajua muktadha (context) ambamo picha hii imepigwa? Kwa nini huyu mama alikuwa amebeba nguruwe. Ni utani au? Tukijua muktadha basi pengine tutaweza kufanya mahitimisho yanayoeleweka!

    ReplyDelete
  2. Astakafil'lah na mwezi huu, utanitengulia swaumu yangu, huyu aliyebebwa si ndio nanihii

    ReplyDelete
  3. au ndo wahenga walisema asie na mwana............!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  4. Ningekuwa sumbawanga ningekimbia, maana ningefikiri ndio mauzauza yenyewe :-)

    ReplyDelete
  5. Labda swali la kwanza lie "ni nini alichobea?" Kwani lazima kikionekana kama nguruwe kiwe nguruwe? HAPANA. Je kama kingeonekana kama mtoto si kingeweza kuwa "mdoli" wa mtoto???
    Inawezekana huyu mama kawapumbaza wengi kwa kubeba mdoli wa nguruwe na sasa watu wanarusha makombora ya lawama kwa kisichokuwepo. Mwenyewe kajikalia "anawaangalia wanavyojipumbaza badala ya kujitambua"
    Lakini vyovyote iwavyo, kuna "kinachoendelea nyuma ya pazia" ambacho twatakiwa kukielewa. Inaweza ku-imagine pilika za kumuweka, kumtuliza na kumfunga kanga nguruwe (kama ni nguruwe wa kweli) na hatari za "kuchafuliwa" na machafuzi yake.
    Sijui. Naacha

    ReplyDelete
  6. Labda mtoto ni bidhaa ghafi albino, kwa hiyo kamfunika kuepuka balaa ya wanaotafuta mtaji

    ReplyDelete
  7. duh! kuna mtu aliomba kichwa cha mwanae kiwe cha nguruwe kikawa!!!!!!!

    ReplyDelete
  8. Swadakta nadhani ujumbe umefika vizuri!!!!!, ila jambo la muhimu ambalo ulitakiwa kulifanya ni kusema picha hii ni kwa hisani ya.....,unaona unashindwa kutoa majibu ya maswali yaliyoulizwa na watu kibao.....umeshanisoma nadhani...au vp, have a gd day

    ReplyDelete