Wednesday, July 8, 2009

UJUMBE WA LEO: KUTOKA KWA DR. REMMY ONGALA NA WIMBO WAKE WA MAMBO KWA SOKSI


















2 comments:

  1. Kwa kusikiliza wimbo huo, mie umenikumbusha mashindano ya sura mbaya, na bado Remmy alikata rufaa kuwa kaonewa, maana ati yeye ndio alikuwa na sura mbaya zaidi.

    ReplyDelete
  2. Wewe Yasinta..ni mtundu sana..hufanani na mada zako,juzi ilikuwa sala,leo unatuletea mambo ya soksi! nadhani wiki ijayo mada iwe mke kumuamkia mume wake asubuhi na mapema,Baba juma"shikamoo"!!

    ReplyDelete