Leo napenda kumwiga Mzee wa Changamoto kwa kutoa pongezi kwa watu muhimu walioniwezesha. Miaka 10 iliyopita nilikuwa nimeanza kufanya kazi katika Sec. School ya Wilima iliyoko katika kijiji cha Matetereka tarafa ya Madaba. Nilipokuwa kule nilikuwa naishi katika familia ya mzee Mayemba. Katika picha ni Mzee ("baba") Lukas Mayemba na mkewe mama Emelensiana. Nawashukuruni sana mlinilea kama binti yenu na nimejifunza mengi sana kwenu. Hawa ndio walikuwa baba na mama yangu kipindi naishi Matetereka. Nawatakieni maisha mema.
Safi sana. Si wote huwakumbuka watu walochangia kuwafikisha walipo. Hongera sana.
ReplyDeleteHapo naona lazima ilikuwa MBWA MKALI a.k.a BILA KUTANGAZA NDOA hakipiti kitu kidoezi:-)
ReplyDeleteNi wachache sana wanaokumbuka na kuthamini walikotoka.Hongera sana kwa hili.
ReplyDeleteHongera sana Yasinta kwa kuwakumbuka watu hao muhimu kwako. Unajiongezea baraka kwa hilo.
ReplyDeletekatika mambo yako meeengi mema uliyofanya ama kukumbuka kuyafananya hili ni mojawapo. 'ongela'
ReplyDeleteHonera sana Yasinta kwa kutoa shukrani kwa watu muhimu waliochangia malezi mazuri kwako.
ReplyDeletePili napenda sana kumpongeza mzee wa changamoto,sasa naelewa nini maana halisi ya neno la mzee wa changamoto,kweli unatufundisha mengi na tonapata changamoto kubwa kupitia kwako,hongera sana kaka.
Haya kaka Simon,nimecheka niliposoma comment yako,lakini inaukweli ndani yake hapo kweli ilikuwa ni mbwa mkali.
Asanteni wote kwa mao ni yenu mazuri. Na pia asanteni kwa kutochoka kunitembelea daima.
ReplyDeleteHongera sana kwa kuwakumbuka hawa walezi maana naona hata wao wanajisikia fahari kupata salamu hizi
ReplyDeleteSorry nilikuwa mashambani ndio maana nilikuwa kimya
westbrook shoes
ReplyDeletecheap jordans
kyrie 4
christian louboutin
yeezy 500
golden goose sneakers
golden gooses
nike basketball shoes
nike react
off white nike
replica wholesale handbags CGQBV high quality replica handbags ELTU cheap replica handbags FKSW
ReplyDelete