Sunday, June 21, 2009

NAPENDA KUWATAKIENI WOTE JUMAPILI NJEMA KWA SALA HII

Mungu nakuomba unisaidie niwakumbuke wenye njaa ninapokuwa na chakula, wagonjwa nianpokuwa na afya nzuri, wote wanaoteseka kwa sababu ya vita ninapokuwa na amani, wasio na nyumba ninapokuwa nimelala na pia kuwa ndani ya nyumba yenye joto, pia nakuomba unisaidia niwakumbuke yatima kila ninapokuwa na wazazi wangu.

Na pia nakuomba:

Bikira Maria mama wa msaada na uibariki familia yangu, kaka zangu, dada zangu, wazazi wangu na watu wote dunia hii katika dhambi: AMINA

7 comments:

  1. DUH!Kwanini umepitia mpaka kwa Bikira Maria kama lengo ni Mungu?

    ReplyDelete
  2. Ahsante kwa sara zako pia nami napenda kukutakia jumapili njema kwani yawezekana kabisa umeweza kutuombea nawe ukasahau kujiombea kwani kama kinyozi hajinyoi basi hata mwombeaji hajiombei au?

    ReplyDelete
  3. labda mkodo kauliza vizuri juu ya C/O. unajua lengo ni kukupeleka wapi?

    ReplyDelete
  4. Amina! Taifa letu linahitaji maombi pia.

    ReplyDelete