Monday, June 22, 2009

HATA WANYAMA WANAJUA (MAMA NIBEBE NIBEMBELEZE)



Leo sitasema sana!!

9 comments:

  1. Kweli malezi hayafunzwi. Na huyu "kafundwa" na nani? Mwacheni Mungu aitwe Mungu.
    Ameeeen

    ReplyDelete
  2. Eimeeen (lazima kusema kilokole)

    ReplyDelete
  3. We! dada Yasinta si ulikatazwa kupiga picha hawa wanyama ukaambiwa ni kwa ajili ya watalii tu hahahah

    ReplyDelete
  4. Huyo aliyebebwa ni kadume, jike hukaa sehemu ya tumbo la mama yake

    ReplyDelete
  5. Hakika ukistaajabu ya Mussa utayaona ya filauni ,yeye asema kwake kila goti litapigwa na kila kiumbe kina nafasi sawa mbele yake Mungu , ubarikiwe mtumishi kwa kutuonyesha utukufu na uumbaji wa Mungu,ila nataka kujifunza Sweden kuna hifadhi ya wanyama?

    ReplyDelete
  6. Anonymous said...
    Hakika ukistaajabu ya Mussa utayaona ya filauni ,yeye asema kwake kila goti litapigwa na kila kiumbe kina nafasi sawa mbele yake Mungu , ubarikiwe mtumishi kwa kutuonyesha utukufu na uumbaji wa Mungu,ila nataka kujifunza Sweden kuna hifadhi ya wanyama?

    ReplyDelete
  7. Asante wote kwa michango yenu na kwa kuwa na moyo wa kunitembea mara kwa mara. Ngoja nikujibu kaka Bennet hiyo picha nilishapiga wakati nakatazwa kupiga.

    Usiye na jina Ndiyo Sweden kuna hifadhi ya wanyama. Ngoja ntakuwekea siku moja. Na kwa taarifa yako Waswidi ni watu wa kwanza kuwa na hifadhi ya wanyama tangu mwaka 1909.

    ReplyDelete
  8. Mama Muhimu!

    Na inasikitisha Tanzania tunazidi kuongeza Watoto Yatima ambao kubebwa na Mama kwao ni stori wasimuliwazo na kama ni Mama wa kambo asiye na pendo kubebwa na kufinywa kwa weza kuwa KWAO ni sawasawa.:-(

    Nawatakia kila la kheri na mafanikio watoto Yatima wote!

    ReplyDelete