Tanzania, Tanzania nakupenda kwa moyo wote
Mi naupenda huo wa pili Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote. Ingekuwa ni uamuzi wangu, ningeufanya wimbo rasmi wa taifa.
Nyimbo kama sala halafu eti Tanzania bado masikini!:-(DUH!:-(
Mi naupenda huo wa pili Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote. Ingekuwa ni uamuzi wangu, ningeufanya wimbo rasmi wa taifa.
ReplyDeleteNyimbo kama sala halafu eti Tanzania bado masikini!:-(
ReplyDeleteDUH!:-(