Saturday, June 6, 2009

LEO HAPA SWEDENI NI SIKUKUU YA TAIFA KWA HIYO NIMEONA LABDA TUSIKILIZE WIMBO WA TAIFA HA PA SWEDEN

Wimbo wa taifa wa hapa sweden


Värmlands visan = wimbo wa mkoa niishio hapa Värmland


Baada ya kuona hivi nimeona si vibaya nikijipendelea pia.Wimbo wetu wa Taifa:-)

5 comments:

  1. Asante Yasinta,muda umepita sijausikia wimbo huu.Kila nikiusikia najivunia.

    ReplyDelete
  2. Leo jioni tutafunga wadeni kwenye mpira, tutafurahi saidi.

    ReplyDelete
  3. Hej tjejen!

    Hoppas ni har det trevligt idag! Det är inte så fint ut idag så vi ska bara vara hemma och mysa som vanligt.

    Har det så gott och många kramar till dina barn...förresten, Gratis i efterskött till din lilla gosse.

    Kramar från Västergötland :D

    ReplyDelete
  4. Inafurahisha kuupata wimbo huu wa taifa letu tena ukiwa na sauti za watu na ala, najua kuna watu hawajausikia kitambo, sisi nyumbani tumeuzoea

    ReplyDelete
  5. Ukipata na kionjo cha sindimba tuwekee tukumbukie na nyumbani.

    ReplyDelete