Tuesday, June 16, 2009

KUNA USALAMA HAPA KWELI?


Nani atafika salama gari, watu au mzigo? kazi kwelikweli hapa.

10 comments:

  1. Hii kali sana, nimeipenda hii,je ni wapi hapa Bi Maisha?

    ReplyDelete
  2. Usalama upo Dada. Si una wako shwari hao?
    Ila wakishuka wasirudie. Duh!!

    ReplyDelete
  3. Hakuna masuala ya kujali, ni watoto hao.
    Si haki kabisa kupakia mzigo kiasi hicho mbali ya kuongezea binadamu juu ya mzigo huo!!!

    ReplyDelete
  4. Nimecheka sana unajua Afrika tuna vituko sana, hiyo gari haifiki hata tani moja (uzito wa kubeba) hapo ikipishana na ile mibasi inayokimbia lazima ipinduke na sehemu zenye upepo mkali kama makanya itapinduka tu

    ReplyDelete
  5. Inaelekea wanakotoka hakuna usafiri wa aina nyingine,huenda ni punda na baskeli,kama wakibahatika kupata usafiri wa gari ndio kama tuonavyo,mmmh hiyo ndio Afrika na vituko vyake tutafika tuu!!

    ReplyDelete
  6. Angalau barabara inaonekana kamili bila 'potholes' ... sasa gari likipata puncture inakuwa vipi... watashusha mizigo kwanza au?

    ReplyDelete
  7. Kinachotakiwa punda, sio mlio wa punda. Watafika tu, ila kwamba watafika salama au la hiyo ni maneno 'ingine'.

    ReplyDelete
  8. [url=http://sapresodas.net/][img]http://sapresodas.net/img-add/euro2.jpg[/img][/url]
    [b]oem software licensing, [url=http://vioperdosas.net/]shop software vista[/url]
    [url=http://vioperdosas.net/]design software to buy[/url] adobe acrobat 9 professional hot key marketing software canada
    autocad viewer [url=http://vioperdosas.net/]school software discounts[/url] cheapest accounting software
    [url=http://vioperdosas.net/]which is better coreldraw x3 or adobe illustrator[/url] on purchase of software
    [url=http://vioperdosas.net/]family office software[/url] get oem software
    autodesk autocad [url=http://sapresodas.net/]software microsoft office[/url][/b]

    ReplyDelete