UTARATIBU WA KUTATANISHA WA MANENO(mashairi hafifu)
Je? kuna anayeweza kusema sentensi hii bila kupumzika au kupemua mpaka mwisho. Jaribu ni moja ya mazoezi ya mdomo, huwa nasema hivyo kila asubuhi niamkapo. KARIBUNI!!
Katibu kata wa kata ya mkata amekataa kata kata kukata miti katika kata ya mkata.
Yah Kamala!ndiyo hiyo ni meditation yangu. Nimefurahai na hiyo yako ya pakapanyapaka.... Ninayo nyingine inasema hivi kaka kakuku kale kadogo keupe kapo kwako kaka?
i cn say it like that ila siwezi kushika kichwani...lol
ReplyDeleteNi nini kilisababisha uiseme kila asubuhi?
ReplyDeleteInanikumbusha mbali sana!
Karibu tena Candy! utashika tu kichwani ukisema kila siku...Lol
ReplyDeleteSimon! kwa sababu ya kupenda:-) na pia ni mazoezi ya mdomo kama nilivyosema:-(
hiyo ndiyo mantra yako ya meditation?
ReplyDeleteitakupeleka plane ya tano!!
pakapanyapakapanyapakapanyapakapanyapakapanyapakapanyapakapanyapakapanyapakapanyapakapanyapakapanyapakapanyapakapanyapakapanyapakapanyapakapanyapakapanya
Yah Kamala!ndiyo hiyo ni meditation yangu. Nimefurahai na hiyo yako ya pakapanyapaka.... Ninayo nyingine inasema hivi kaka kakuku kale kadogo keupe kapo kwako
ReplyDeletekaka?