panaonekana pazuri, walimu wetu wengi wamesoma hapo, tumshukuru sana Padre Gerold Lupper kwa kujenga hicho chuo.
Matogoro ni pazuri. Nilifika mwezi Julai mwaka 2001 kuna ndugu yangu alikuwa akisoma hapo mi nikiwa Kigonsera. Umenikumbusha mbali jamani.
Hujambo Yasinta?Kuna kazi inakusubiri. Pitia kwangu kwa maelezo.Serina.
Hiyo Picha Imenikumbusha wakati nilipokitembelea Chuo hicho ni kizuri sana. Umefanya vizuri kuweka picha yake.
yasinta umenikumbusha mbali sana. mi nilikua mtoto wa kota hapo ttc enzi hizo za kadeni. nakumbuka hapo tulikua tunaenda kuchuma maua ya kupamba ndani siku za sikukuu kama za xmas, easter na idd. ila walinzi walikua wanoko ile mbaya.
panaonekana pazuri, walimu wetu wengi wamesoma hapo, tumshukuru sana Padre Gerold Lupper kwa kujenga hicho chuo.
ReplyDeleteMatogoro ni pazuri. Nilifika mwezi Julai mwaka 2001 kuna ndugu yangu alikuwa akisoma hapo mi nikiwa Kigonsera. Umenikumbusha mbali jamani.
ReplyDeleteHujambo Yasinta?
ReplyDeleteKuna kazi inakusubiri. Pitia kwangu kwa maelezo.
Serina.
Hiyo Picha Imenikumbusha wakati nilipokitembelea Chuo hicho ni kizuri sana. Umefanya vizuri kuweka picha yake.
ReplyDeleteyasinta umenikumbusha mbali sana. mi nilikua mtoto wa kota hapo ttc enzi hizo za kadeni. nakumbuka hapo tulikua tunaenda kuchuma maua ya kupamba ndani siku za sikukuu kama za xmas, easter na idd. ila walinzi walikua wanoko ile mbaya.
ReplyDelete