Tuesday, December 23, 2008

SALAMU ZA MWAKA ZA MWISHO


Hii nimetumiwa, nimeona tuwa pamoja katika salamu hizi za mwisho wa mwaka. Asante sana kwa salam hizi:


Ni wakati mwingine wa mwisho wa mwaka.
Ni wakati wa kupumzika na kutafakari ya mwaka 2008.
Kabla ya Mwaka Mpya, tunalazimika kusherekea
kuzaliwa kwa mkombozi wetu Bwana Yesu Kristo.
Kwa mantiki hiyo basi, mimi na famili yangu
tunakutakieni Heri ya Noël na
Furaha ya Mwaka Mpya 2009!
Tunakutakieni kila aina ya furaha na fanaka
kwa Mwaka Mpya 2009.
Tusisahau kumshukuru Mwenyezi Mungu, kwani
kwa mapenzi yake tumeufikia msimu huu wa
sikukuu za mwisho wa mwaka.
Joyeux Noël et Bonne Année

Remigius & Regina Gama

2 comments:

  1. HONGERA KWA SALAMU ZA MWAKA MPYA.
    JAPO MIMI SIUJUI KWA KUWA KILA SIKU KWANGU NI MPYA.
    NAKUTAKIA KILA LA HERI. NAAMINI HUO MWAKA UNAOKUJA UTATULETEA MAMBO MAPYA NA MAZURI.
    AHSANTE KWA UBUNIFU WA MADA MBALIMBALI ZINAZOFUNDISHA NA KULIWAZA NA WAKATI MWINGINE KUSIKITISHA.
    LONG LIVE YASINTA!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. Shabani asante sana tena sana kwani umekuwa kila wakti ukinitembelea na kutoa mawazo yako. Nakutakia kila la heri nawe pia.

    ReplyDelete