Tuesday, December 23, 2008

KARIBUNI TULE NA TUNYWE


Matunda ni muhimu sana. vinywaji pia, ila hapa mwenzenu naumia kweli yaani haya matunda mmh basi tu.

4 comments:

  1. DADA YASINTA MBONA WATUTAMANISHA HIVYOOOO!!!!!!!
    BAHATI MBAYA SINYWI MVINYO MWEUPE WALA MWEKUNDU.
    ILA MATUNDA NITAKULA, SIJUI HAFLA HII INAFANYIKA WAPI? NAOMBA UTUJUZE BASI.

    ReplyDelete
  2. Mvinyo!
    Matunda!
    Bado nini? Angekuwepo kuku choma tena wa kienyeji, mi ningefurahi sana.
    Ahsante sana kwa burudani ilo mwanana.

    ReplyDelete
  3. Ooh Shambani!kumbe nilisahau kusema wapi ni kama kawaida hapa Ruhuwiko.Na usiwe na wasiwasi kuna vinyaji vingine vingi tu

    Fadhy! we njoo kwanza halafu utaona kuna nini usiwe na tatizo kuku wa kienyeji wa kuchoma hawezi kukusekana. Karibuni sanaaaaaa

    ReplyDelete
  4. ndiyo maana nakuonya mara nyingi usije nyasa hzio chupa zako haki ya nyasa hivi!!!! huko kushoto kwanini bwana na vyupa vyako vikubwa na vidogo??? geuka kulia basi kuna matunda na nini sijui lakini lazima kuchanganua vinginevyo hutakiwi kuja nyasa na matunda ya ajabu ajabu. LAKINI Ruhuwiko maarufu kwa KITIMOTO ...... sasa ... hii mivinyo toka kwa DIOR ufaransa.... aaaaaah hoooooo nataka kutapika mama yanguuuu weeeee basiiiii siongelei hizo chupa tena ooooooo ta ta ta ta ta pwaaaaaaaaaaa jamani msaada napika. ha ha ha ha nicheke kwanza mmmmmm YASINTA UPO NTU WANGU?

    ReplyDelete