Monday, December 22, 2008

MAISHA,MAISHA MAISHA, MAISHA


Kila mtu anahitaji maisha mazuri. Angalia hapa hawa watoto wanaonekana wana njaa na pia ukame wanahitaji msaada.

1 comment:

  1. Nimerejea, lakini Yasinta wanipa simanzi, nalia kwa harara, ewe mola sikia kilio hiki, kwanini waacha haya, waone walivyochoka, maisha yamekwama, hawana msaada mwingine bali ewe mola, mwano wa pekee Yesu alisema, hsasa zile dakika zake za mwisho, kwamba BABA MIKONONI MWAKO NAIWEKA ROHO YANGU, ingawa alisema WASAMEHE hawajui watendalo, Yasinta wanipa maradhi hakika nakonda moyo waniuma, nilie namna gani?niseme namna gani moyo nao walizwa? lahaja gani nitumie mwenzenu, machozi yanatoka hakuna wakunifuta EWE mola tazma maisha yao,angalia nafsi zao,zinakulia daima, kila uwepo wapo waangalie watu hawa,waanglie viumbe hawa. hekima zetu zidumu lakini iwe kwa heri na amani, je wale watupao watoto nipeni niwalee maana najua mola yuko nami, mbona yule dada pale Makumbusho aliuza mtoto? kisa hataki kuwa na mwana, hataki kulea, anataka mahaba, anataka kuonja,anataka kula koni? anataka kula mengineyo, anataka maisha ya raha, EEE maulana mkuu tazama watoto hawa hawajui walilokosea, hakuna naayewafariji ni wapi watapa FARAJA wanakuita FARAJA mawazo yanawachanganya uko wapi FARAJA? nJOO HAKUNA MLANGO WA HERI, KILA SIKU SIMANZI????/ FARAJA UKO WAPI FARAJA WANGU waponye watoto hawa. Yasinta nawasikia, je dunia mnawasikia? nani atawasaidia? Rais Kiwete unawasikia? Yasinta mwenzio kawasikia? machozi yakamtoka leo kawasilisha, uko wapi FARAJA mawazo yanachanganya jamani.
    Yasinta ubarikiwe lakini ujue umeniliza,umenipa simanzi watoto nawalilia hawa. YASINTAAAAAAAAAAAAAAAAAA wape FARAJAAAAAAAA kwani kutuletea ni faraja AMANI KWAO

    ReplyDelete