Wednesday, December 10, 2008

MKOKOTENI+USAFIRI+UMOJA+MBOLEA =MAISHA

Ngoja tuache mambo ya kukaa chini na kusoma vitabu vya hadithi. Sasa ni wakati wa kilimo kwa, mbolea zinahitajika. Na huu ndio usafiri wetu hapa Ruhuwiko. Kuna majembe mengi tu kwa hiyo msiona aibu. KARIBUNI

2 comments:

  1. hee aise watu bwana, mambo yao bwana yaani wanatembea hawana habari. aliyefunga kitambaa cheupe siyo wewe dada Yasinta?

    ReplyDelete
  2. Ningenenepa hivyo ninefurahi. Mi nilikuwa naumwa nililala. Bahati mbaya sijawaza kujuika nao hao ni majirani tu USHIRIKIANO

    ReplyDelete