Wednesday, December 10, 2008

BAISKELI+TENGA LA SAMAKI+KUUZA SAMAKI


Halafu pia inabidi niwahi sokoni kuuza samaki. Nimerudi jana tu kutoka Mbamba bay kununua
hawa samaki (mbelele) kwa hiyo hapo safari ya kwenda kuwauza.

5 comments:

  1. mmm wapi hapo mbona sielewi ni pale RUHUWIKO au kule JESHINI barabara ya kwenda Matogoro eti dada Yasinta.

    ReplyDelete
  2. Utajiju angalia vizuri nisuambii ngó. ha ha ha ha haaa raha kweli

    ReplyDelete
  3. Hapo umenipata. Samaki, wakiungwa nazi na ubeche, usijaribu kukadiria.
    Mtani usishangae, kwetu hakuna minazi kama Ruhuwiko, ila nilipokuja Dar ili nisionekane wa kuja nkaanza kula nazi. Saizi mafuta ya dukani mtanisamehe.
    Bado sijaona mihogo na viazi vya Songea.

    ReplyDelete
  4. Hapo kwa mwendo wa baiskeli anafanya na mazoezi mumo kwa mumo. Cha kujiuliza tu ni kwamba hao samaki ni bei gani? Na maisha yake yanamgharimu shilingi ngapi?Angekuwa mwizi na sio muuza samaki maisha yake katika hari mpya na kasi mpya yangekuwa na nafuu au joto kali?

    Tukumbuke wavuvi somalia wameamua kuwa wezi a.k.a Pirates.:-(

    ReplyDelete
  5. Ni kweli Fadhy pale Ruhuwiko kwa kaleza mdogo mnazini wa Voda com nimekupata. basi karibu sana Ruhuwiko kula nazi

    Simon:-(

    ReplyDelete