Sunday, November 23, 2008

MDUNDUWALO/PERAMIHO 2005

2005 tukiwa Peramiho-Mdunduwalo. Hapo tulitaka kuruka na ungo. Huo hapo nyumba yetu ni ungo wa kupozea ugimbi (pombe)

5 comments:

  1. Huo ungo kiboko naisi mkitaka kuruka unaweza kupakia ndugu zako wote au ukoo mzima na bado nafasi ikabaki.
    Mlitaka kuruka kwenda wapi????

    ReplyDelete
  2. Ushanivurugia siku kwa kutaja 'ugimbi'. Ilikuwaga hivi enzi hizo nasoma Malangali. (Mwananke anapita na ndoo yake imejaa ugimbi)

    MIMI: Ndisuka Ugimbi
    M/MKE: Wuse utegule

    Then you go to test the taste kutoka kwenye dumu dogo aliloshika mkononi.

    ReplyDelete
  3. Haya kaka Lazarus tulitaka kuruka kutoka Peramiho kwenda Sweden. Lakini ilishindikana tukaishia Njombe.

    Na kaka John Mwaipopo kwanza karibu sana. Unogage! hiyo dumu nduogo inaitwa robo au nusu nadhani. karibu sana tena na tena

    ReplyDelete
  4. semeni tu semeni tu mpaka mchoke, ungo tunatumia sana kuwanga na kushughulika kihenula sana tu maana mwanamke akikukataa unasaka ungo mida ya usiku mkali unamwingilia kwa raha zako eeeeeee. mambo hayo lakini kuruka kwa ungo mbona bomba tu mnaonaje

    ReplyDelete
  5. ``Bye. She liked being popular and wasnt about torock the boat for a fat guy who had an obscene loveaffair with food ever since he was a kid.
    adult incest free stories
    adult erotic pictures and stories
    uk bondage stories
    teen boy sex stories
    gay cafe stories
    ``Bye. She liked being popular and wasnt about torock the boat for a fat guy who had an obscene loveaffair with food ever since he was a kid.

    ReplyDelete