Sunday, November 23, 2008

RUHUWIKO/SONGEA 2007

Kaka zangu watono, baba na mdogo wangu mmoja wa kike. Hapo ni mwaka jana raha sana kuwa na familia kubwa.

2 comments:

  1. Mnapendeza na pia ni vizuri ndugu kuishi kwa upendo na zaidi kuwa pamoja.

    Upendo daima

    ReplyDelete
  2. nakubaliana nawe kaka Mbilinyi. Kama wangoni wasemavyo:- Dumisha ukoo kwani ndugu atakufaa siku ya dhiki. N akataaye ukoo ni mchwi.

    ReplyDelete