Ugonjwa wa kidole tumbo inasemekana huwapata zaidi vijana kati ya miaka 10-25. Lakini pia wazee na vijana zaidi ya miaka 25 wanaweza kupata. Sio kawaida watoto chini ya miaka 2 kupatwa na ugonjwa huu.
Ulaya na Amerika magharibi kwa wastani moja ya kumo hupa ugonjwa huu. Lakini hapa Sweden idadi ya wapatao ugonjwa huu imepungua.
Katika uchunguzi/utafiti inaonyesha watoto ambao wanapata maziwa ya mama zaidi ya miezi saba wanaepuka kupata ugonjwa huu kuliko watoto wasionyonya maziwa ya mama.
Dalili zake:-
Ghafla,maumivu makali ya tumbo pembeni au juu ya kitovu, pia huahamia chini ya tumbo upande wa kulia na kuwa makali zaidi.
Wengine, baada ya muda hupata joto kali sana, hupoteza hamu ya chakula na hupata kichefuchefu. Wakati mwingine kutapika na kuhara pia.
kwa watoto wadogo na watu wazima dalili huwa vigumu kuonekana.
Daktari wangu mimi naumwa sana, lakini siumwi ugonjwa huo naumwa ugonjwa wa NYWELE wamatengo wanasema MAYUNZ'O. hili darasa aise ni kali kumbe pale juu ya kitofu pana mambo ati
ReplyDeleteupwaga wole we eti mayunzó yana shida gani gani sasa. Mbona hujajieleza vya kutosha au ndo wamatengo wanavyojieleza. kazi kweli kweli
ReplyDeleteUgonjwa huu bado kidogo umuue dada yangu!Tena kipindi hicho alikuwa huko huko kwenu Peramiho!Peramiho kulikuwa na hospitali nzuri.Bado ipo?
ReplyDeleteNashukuru mungu kama alipona. Ndiyo Peramiho hospital bado ipo na nzuri kabisa.
ReplyDelete[url=http://www.ganar-dinero-ya.com][img]http://www.ganar-dinero-ya.com/ganardinero.jpg[/img][/url]
ReplyDelete[b]Una gran guia de ganar dinero[/b]
Hemos encontrado la mejor pagina web en internet de como trabajo casa. Como nos ha sido de utilidad a nosotros, tambien les puede ser de interes para ustedes. No son unicamente formas de ganar dinero con su pagina web, hay todo tipo de formas de ganar dinero en internet...
[b][url=http://www.ganar-dinero-ya.com][img]http://www.ganar-dinero-ya.com/dinero.jpg[/img][/url]Te recomendamos entrar a [url=http://www.ganar-dinero-ya.com/]Ganar dinero[/url][url=http://www.ganar-dinero-ya.com][img]http://www.ganar-dinero-ya.com/dinero.jpg[/img][/url][/b]
me naumwa sana ila sihisi joto ila maumivu 2 nisaidie je inaweza ikawa appendix
ReplyDeleteMi napata maumivu makali chini ya kitovu had nashindwa kusimama.
ReplyDeleteMi napata maumivu makali chini ya kitovu had nashindwa kusimama.
ReplyDelete