Friday, November 28, 2008

BOOKSHOP PERAMIHO


Ukifika Peramiho usikose kipitia hapa kujipatia vitabu na magazeti ya aina yote. Karibu sana (Kunyumba Kuperamiho) ugali na likolo la nanyungu sasa ndo msimu wake.

1 comment:

  1. hapo lazima nije kununua vitabu kwani mara nyingi ukiwa kijijini hakuna sehemu za kununua vitabu. usengwili Nangonyani.

    ReplyDelete