Pia napenda kumshukukuru kaka Simon kwa kunikumbusha kuhusu Peramiho. Asante sana Simon,binafsi pia nimekumbuka sana Peramiho (chiperamihu) kunyumba kazi kweli kweli
@Yasinta: Asante kwa hii!Huko kwenu ingawa ni miaka kibao sijafika kuna mengi nilianzia huko. Kuanzia shule ya msingi , kujistukia napenda mademu mpaka , kuendesha baiskeli pamoja na kupigwa kwa mara ya kwanza katika ngumi , ingawa nilisingizia jamaa kaniingiza pilipili machoni ndio maana nimevimba sura:-) Unanikumbusha mbali sana hapa kijiweni!Kwa mara nyingine Asante!
nyumbani ni nyumbani hata kama kichakani. Mwee Peramiho wengi tuliota kusoam seminari lakini wapi mademu kibao starehe nyingi, halafu nivae makanzu ha ha ha ha mmm nina imani msije mkanisuta hee. ila poa sana pale kuna mademu wanasoma mambo ya utabibu pale ni noma ndiyo maana waseminari wengi huanguka ebwaae mahaba ni nini?
The Peramiho hospital is now facing so many challenges in providing it's services. It is better to review services provided this institute, otherwise the history of this hospital will lost!
kuchiperamiho jamani kunyumba unikumbusi kutali kweli. asanti dada Yasinta.
ReplyDeleteasante usiye na jina kwa maoni yako.
ReplyDeletePia napenda kumshukukuru kaka Simon kwa kunikumbusha kuhusu Peramiho. Asante sana Simon,binafsi pia nimekumbuka sana Peramiho (chiperamihu) kunyumba kazi kweli kweli
@Yasinta: Asante kwa hii!Huko kwenu ingawa ni miaka kibao sijafika kuna mengi nilianzia huko. Kuanzia shule ya msingi , kujistukia napenda mademu mpaka , kuendesha baiskeli pamoja na kupigwa kwa mara ya kwanza katika ngumi , ingawa nilisingizia jamaa kaniingiza pilipili machoni ndio maana nimevimba sura:-)
ReplyDeleteUnanikumbusha mbali sana hapa kijiweni!Kwa mara nyingine Asante!
nyumbani ni nyumbani hata kama kichakani. Mwee Peramiho wengi tuliota kusoam seminari lakini wapi mademu kibao starehe nyingi, halafu nivae makanzu ha ha ha ha mmm nina imani msije mkanisuta hee. ila poa sana pale kuna mademu wanasoma mambo ya utabibu pale ni noma ndiyo maana waseminari wengi huanguka ebwaae mahaba ni nini?
ReplyDeleteThe Peramiho hospital is now facing so many challenges in providing it's services. It is better to review services provided this institute, otherwise the history of this hospital will lost!
ReplyDelete