Tuesday, November 25, 2008

TUANGALIE VYOMBO VYA MICHEZO NA USAFIRI

MICHEZO YA PIKIPIKI

Michezo mingine ni kujitafutia kifo angalia hapa akianguka je?

5 comments:

  1. yaaogopa kifo? kwani hatustahili kufa? kwani yeye anaendesha hiyio pikipiki ili afe au ashinde?
    hivi sisi tuliozaliwa na kuja duniani tutaogopa kuondoka duniani (kufa) ni uchizi tukiogopa kufa wakati hatukuogopa kuzaliwa hata kama tulizaliwa tukilia.

    kifo ni halali yetu na haki yetu ya msingi kabisaaaa. Mbona Kristo aliwakaripi wapuuzi akijua watamuua na kweli wakamuua?

    mbona wewe unapanda basi, ndege, treni n.k bila kujua kama iko salama au dereva sio chizi, mlevi au mwenye roho mbaya?\

    sote tunachezea kifo na lazima tufe ili tuishi maisha yasiyo na mwisho. kumbuka wewe usiyechezea hiyo pikipiki unaweza kufa kabla yake huyo, no guarantee

    ReplyDelete
  2. Kamala nakubaliana nwe kifo ni sehemu yoyote ile. Lakini kufa kwa kuanguka katika pikipiki utakuwa uji kabisa. Na ni kweli huwezi kujua ni saa ngapi utakufa na kifo chako kitakuwaje. lakini mmmm kazi kweli kweli

    ReplyDelete
  3. jamani napenda hii michezo lakini sipendi kushiriki, labda ningekuwa mwalimu wa michezo hiyo. ndiyo mbona Mourinho hajawahi kuwa mwanasoka lakini anafundisha soka?
    weeeeee niacheni miye nikafundishe

    ReplyDelete
  4. karibu sana kaka Mpangala kwani nina timu hapa ambao ninawafundisha kwa hiyo unaweza kuwa msaidizi wangu.kazi kweli kweli

    ReplyDelete
  5. Poa andaa malzi na makazi dadangu NAJA tena kwa makeke sana napenda sana kufundisha huu mchezo ua soka. Lakini mshahara vipi tusije tukaanza kudaiana mpaka virungu mweee nihotolepe nene mambu ga kudayani mafao.

    ReplyDelete