Wednesday, October 29, 2008

UJAUZITO+FURAHA+UASILIA


Yaani hapa anaonyesha kwa nini watu tunapoteza pesa kununua nguo za bei mbaya.Mnajua mara nyingi nimekuwa najiuliza kweli kiumbe hai kitakaaje humu tumboni miezi tisa. Mungu kweli ana miujiza yake. Ila pia akina mama tuna kazi kubwa sana. Ila huu mvao wake nimeupenda.

9 comments:

  1. hapana dadangu nakwenda kuzungumza na watu wa haki za binadamu sasa hivi kwanini umeweka hii picha halafu inaonyesha NIDO? hujui NIDO ni kitu ambacho kinafichwa na kuheshimiwa sana, ndiyo maana nasema usije nyasa kama ni hivyo aiseeeeee.

    ReplyDelete
  2. Nenda tu bwana kwani NIDO ni moja ya mwili wa binadamu kwa nini ufichwe. Uhuru ni muhimu hata mwili unahitaji kuwa huru. Au unogela mavele ha ha ha haaaaaaaa utajiju

    ReplyDelete
  3. Kwa asili ya Afrika kuonesha Nido hadharani si vibaya ila watu wa kisasa huona ni kosa na pia ni kuonesha uchi. Kwangu Nido ni chakula cha mtoto kwa nini ufiche? hahahaha!
    So kila mtu ana mtazamo wake!

    Ila sijui inakuwaje maana wanawake wetu huku vijijini siku hizi akiwa na mimba basi atajifunga minguo hata kama jua kali kisa anaficha mimba! kazi kwelikweli! na akizaa ana kaa ndani miezi mitatu ndo atoke na mtoto. Kazi kwelikweli!

    ReplyDelete
  4. utani mbaya dada kaumbika walai!ila sasa ni swala gumu kuamini kuwa kiumbe anaishi tumboni for so long like that, dada yangu Yasinta kama bado hujapitia hiyo hali pls usiombe ila sasa no way,unlss otherwise unataka kuwa sister,that is nusu kaputi si kama nakutisha la hasha, ukweli ni kwamba ni hali nguma na ya shida sana ktk maisha ya mwanamke, i know as the matter of fact that nimepitia huko tayari!kuna masumbufu ya hapa na pale acha tu!
    Ila Mungu ni mwema na mkuu mwisho wa siku ukishusha huo mzigo unajikuta unasahau maumivu na masumbufu yote kabisa!

    Lazarus ndugu yangu kujificha ficha na minguo may be ni kutokana na hali ya hewa ya mahali husika au hata aibu pia inachangia, na suala la kukaa ndani miezi 3 ni sawa kabisa unajua pale mama anatakiwa kupumzika ile issue ya kuzaa si mchezo weee watu wanakufa uzazi ni muhimu sana kupumzika!

    ReplyDelete
  5. Matty Asante sana kwa kunitembelea, Ni usidhani sijui hiyo kazi ya kuzaa tayari nimeshapitia na tena nakuambia nilinusurika yaani ilibaki kidogo tu kuonana na baba yetu wa Mbinguni. Na hiyo miezi mitatu anayosema kaka Mbilinyi nadhani ni hilo kabila la wabena kama sikosei

    ReplyDelete
  6. ha ha ha ha kaka Mbilinyi anasema NIDO chakula cha watoto!!!!! ha ha ha mmm na WATOTO wakubwa kama mimi au wewe????? ha ha ha ha ha ha ha ha aiseee mambo juu ya mambo. Hi ishu ya kushusha mzigo toka tumboni jamani hapa nilipo hadi matumbo yanacheza cheza hakika maana nikifikiria naona wanawake wanashughuli kweli kweli. ILA NAWAPENDA WAJAWAZITO JAMANI WE ACHA TU lakini ukishazaa nakuacha taratiiiiiiibu naishia zangu yaani napenda kuwaona walivyo na kuongea nao. Lakini lazima nikupeleke mahakamani tu hakika hivi

    ReplyDelete
  7. peleka tu siogopi ngó haha ha haaaa
    MAHAKAMANI

    ReplyDelete
  8. Nenda tu bwana kwani NIDO ni moja ya mwili wa binadamu kwa nini ufichwe. Uhuru ni muhimu hata mwili unahitaji kuwa huru. Au unogela mavele ha ha ha haaaaaaaa utajiju

    warm bed sheets ,
    king size sheets on sale ,

    ReplyDelete