Wednesday, October 29, 2008

FLAVIANA AKIWA AFRIKA YA KUSINI

Hapa sisemi sana ila angalia tofauti na picha za hapo chini.

3 comments:

  1. nataka nianze kazi hii nimshinde Flaviana mnasemaje nitaweza au

    ReplyDelete
  2. ha ha ha ha ha jamani kukimbia upepo(mbio) na mitindo wapi na wapi? najua utasema unaweza, je utakuwa na kipara kama cha Flaviana? nakipenda kipara sana tu.

    ReplyDelete
  3. Sio utakuwa na kipara kama Flaviana? Ni tayari ninacho ungekiona basi subiri niweke hii picha hapa

    ReplyDelete