Wednesday, October 29, 2008

MAVAZI WAKATI UKIWA MJAMZITO


Hata akina mama wajawazito wanatakiwa kwenda na fashion. Wengi wanafikiei ujauzito ni ugonjwa.

3 comments:

  1. mimi ningependa kuvaa gauni kwani unakuwa huru hakuna kubnwa

    ReplyDelete
  2. fasheni gani mtu unaujauzito unavaa fasheni ili uwanogeshe wanyasa? unataka kuwapa HAMU wanyasa etiiiii? ha ha ha ha kuwatamanisha wanyasa eti umevaa kisuali kama huyo dada mmm halafu kawowowo kanatikisika kwa mbaliiiii si mnajua namna ambavyo wajawazito wowowo zao zinatikisika kimtindo? ha ha ha habari ndiyo hiyooooooo

    ReplyDelete
  3. Nakushauri uoe ili ufaidi haya mambo

    ReplyDelete