Jamani, wote karibuni tushiriki chakula hiki. Hakika siwezi kumaliza hambaga yote hii. Ila chizi haipo ya kutosha na kwa mnaotumia koka-kola ipo ya kutosha tu. Ulanzi na komoni pia myakaya vipo, na mnaotumia vinywaji vingine mje navyo wenyewe. KARIBUNIIIIII.
vipi mbona leo kimya hapa...
ReplyDeleteau umeshakula hilo limososi alilobeba huyo mama umeshiba umeamua kupumzika?
Haya..jpili njema
Mmm limososi hili mwenzangu limenipa usingizi kweli. Jpili njema nawe pia. Karibu tena
ReplyDelete