Saturday, October 25, 2008

BABU ANAITWANGA MBEGE/ POMBE YA NDIZI

Karibuni jamani leo si jumamosi. Angali babu alivyoishikilia hiyo nusu. Karibuni kumsaindia

2 comments:

  1. Mbenge ni miongoni mwa kielelezo cha utamaduni wa mkoa wa kilimanjoro..


    Binafsi naikumbuka sana..hasa mianzini kwa mrefu arusha..aaa aa

    ReplyDelete