Saturday, October 25, 2008

USAFIRISHAJI WA ULANZI



Hapa tayari ulanzi unatoka kuchokuliwa na sasa ndio unapelekwa kwa wateja. Kuna njia nyingi za kujitafutia maisha na pia ushafirishaji.

1 comment:

  1. hakuna kula bila kufanya kazi, kutafuta pesa kazi sana angalia watu tunavyohenya

    ReplyDelete