Wednesday, October 8, 2008

AKINA MAMA WANAPIKA POMBE ZA KIENYEJI

Kutafuta pesa nako ni kazi na kuna aina mbalimbali za kutafuta pesa kama hapa akina mama wanajiwezesha kwa kupika pombe.

1 comment:

  1. hivi hayo ni mahivi au? walevi utawajua wanavyofagilia mambo yao. toka apa kokoko wale nilonde mambu ginu aga. mnakunywa hadi mnataka kufa? maana kuna watu wansema wakati mwingine wanataka kufa mimi sijui

    ReplyDelete