Wednesday, October 8, 2008

BIA POMBE ZA KIWANDANI


Hapa ni ndovu, serengeti, kilimanjaro, safari, pilsner na tusker

2 comments:

  1. hii tabia ya kulewa nayo ni kero au uwongo wadau? kulewa sana noma watu wangu. angalia sana kwani nimesema kwamba tumepanga na mungu kwamba hawa jamaa wanywa ulanzi na wanaofuatilia ulazni kunywe kwenye mbeta hata kabla ya mwenye mbeta kuja kumimina ni noma. kunyweni lakini msivua nguo msije mkamwaga radhi hapa tukashuhudia mambozi na sinema ya bure. someni habari za udaku pale Nyasa katika 'udaku bongo' watu wanamwaga radhi kisa pombe ikikolea inakuwa noma

    ReplyDelete
  2. jamaa anajua hadi bei ya viwandani. je akija bongo? eehe pale kiwandani wanaita ILALA PRODUCTS eti wanaficha kama wanakwenda kulewa matajiju wenyewe na mambo yenu

    ReplyDelete