Wednesday, October 8, 2008

MBETA YA ULANZI


Leo nimetembele kijiji changu nilipoishi zamani ni maalufu sana kwa ulanzi hapa ndo wanakinga ulanzi kwenye mbeta.

2 comments:

  1. mmm utawajua tu wapenzi wa mambo yao, jamani huyu mwenzetu kakumbuka ulanzi huko ughaibuni. Mungu wangu hivi hapo Sweden kuna ulanzi kweli? kuna chimpumu,mbege,komoni,myakaya,lihivi,matibi/togwa, sasa unakunywa nini au ndiyo unagida hayo makopo ya safari,tasika,casito na nini sijui. kazi kwenu walevi nimepanga na mwenyezi mungu kuwa adhabu yunu itakuwa kunywa pombe kila siku bila kusahau GONGO. habari ndiyo hiyo

    ReplyDelete
  2. ''kuleni naye,ongeeni naye,chezeni naye, lakini mjue mimi nimezaa naye''. kuna mlevi mmoja kazi yake ilikuwa kuimba wimbo kama huu hadi mkewa akawa anaudhika. yule mlevi katika kitabu cha WATOTO WA MAMA NTILIE hamjasoma hicho kitabu? matajiju tena mnalo na mtakufa na pombe zenu. mmm msije mkasema wivu au hasira. wala sina meiye toto bla kinyasa nisye na chembe za wivu na hasira. ila wale waopotosha historia ya afrika nina hasora nao sana. lakini walevi wa ulanzi hakuna noma mimi nao ni shega tu

    ReplyDelete