Thursday, September 11, 2008

UREMBO, MAVAZI ,MKOBA NI MOJA YA MAISHA

mkoba wa katani Mrembo Flaviana



Mapambo ya miaka ile


Pensi nyanya

Mimi ni mpenzi wa mitindo mipya na zamani. Napenda fashion.Nafikiria labda nianze hii kazi ya kuonyesha mitindo ya nguo (fashion)

2 comments:

  1. haya mapenzi nyanya au mapensi nyanya. nimemkumbuka Mwalimu Nyerere kuwa haya ni mambo ya jabu kabisa kuvaa kiasi ambacho haya ukiguswa na upepeo nguo huchanika au uwongo mmmmm siayapendi mnyasa mie aka

    ReplyDelete
  2. Pole sana kwani mimi nayapenda sana kwa hiyo hutaweza kukaa karibu nami. ha ha ha.

    ReplyDelete