Friday, September 12, 2008

HARUSI YA BONIFACE MWAITEGE


Mungu amemsikiliza sala zake za kupata mke mwema. Hapa ni Bony Mwaitege na Kipenzi chakeBi Subiraga. Naona sasa majukumu yatapungua maana sasa umepata mke mtasaidiana. Maana sasa umekamilika. Hongera sana kaka Boniface

13 comments:

  1. mbona silewi maana ya ndoa? je hayo ni mapenzi ya mungu, lakini kwanini alitaka watu waoe? je kusihi bila ndoa ni dhambi hasa kama hutaki kuwa na ndoa yenyewe? je sisi kwa waumini wa dini za kijadi hatulazimishwi kuoa.
    nini maana ya ndoa?

    ReplyDelete
  2. Mimi naamini ni kwamba watu wawili wapendanao hii ndio maana ya ndoa. Lakini inawezekana ikawa si hivyo

    ReplyDelete
  3. hongera umempata wa kufanana nawe msaidizi wako

    ReplyDelete
  4. wimbo wako wa njoo ufanyiwe maombi unanibariki sana hongera kwa kutunga nyimbo zinazo bariki watu kweli bila maombi huwezi kupona maana tabibu mkuu ni Yesu

    ReplyDelete
  5. nikweli mungu amekupa mke mwema nawatakia maisha mema,mtoto ameumbika kweli.

    ReplyDelete
  6. Kweli waliomtegemea mungu maisha yao hukamilika . Mungu awe nanyi kama familia , tafadhali ningetaka kujua hali ilivyo kwa sasa . Kunayo tofauti tangu uoe? Mungu awalinde . Amina .

    ReplyDelete
  7. Kweli waliomtegemea mungu maisha yao hukamilika . Mungu awe nanyi kama familia , tafadhali ningetaka kujua hali ilivyo kwa sasa . Kunayo tofauti tangu uoe? Mungu awalinde . Amina .

    ReplyDelete
  8. Kwangu mie hupenda sana kusikiza nyimbo zambo kama vile mke mwema , njoo ufanyiwe maombi . Hizi nyimbo hunipa mootisha kuwa mungu atafanya muujiza nikaweze pia kupata jiko . Mungu apewe sifa . Uliwezaje kupata mke akufaaye ? .

    ReplyDelete
  9. Yasinta wewe ni mngoni na nasikia ninyi huwa mna unyago; mnafundishwa mengi ikiwemo na jinsi kutumia shanga ktk mapenzi, kurefusha kinembe nk. Naomba tupe wenzako ujuzi huo ili tuboreshe ndoa zetu.

    ReplyDelete
  10. Hongera bonny. Mungu wetu awalinde daima

    ReplyDelete
  11. Hongera mtumishi wa Mungu

    ReplyDelete
  12. Mungu awa bariki kwa Jina la Yesu

    ReplyDelete
  13. Welcome to brotherhood Illuminati where you can become
    rich famous and popular and your life story we be change
    totally my name is Dan Jerry I am here to share my
    testimony on how I join the great brotherhood Illuminati
    and my life story was change immediately . I was very poor
    no job and I has no money to even feed and take care of my
    family I was confuse in life I don’t know what to do I try all
    my possible best to get money but no one work out for me
    each day I share tears, I was just looking out my family no
    money to take care of them until one day I decided to join
    the great Illuminati , I come across them in the internet I
    never believe I said let me try I email them.all what they
    said we happen in my life just started it was like a dream to
    me they really change my story totally . They give me the
    sum of $1,200,000 and many thing. through the Illuminati I
    was able to become rich, and have many industry on my
    own and become famous and popular in my country , today
    me and my family is living happily and I am the most
    happiest man here is the opportunity for you to join the
    Illuminati and become rich and famous in life and be like
    other people and you life we be change totally.If you are
    interested in joining the great brotherhood Illuminati.then
    contact him +2348106618681 email:illuminatibrotherpowerful@
    gmail.com or you need my assistance email:danjerry04@gmail.com...

    ReplyDelete