Monday, July 7, 2008

JULAI 7, 2008 PAPAI


Mapapai ni moja ya chakula bora. Naona kuna wengine wananionea wivu shauri yenu lakini wote mnakaribishwa kuja kula.
Na; Yasinta Ngonyani

3 comments:

  1. nimegundua...nakuja kung'oa huo mti nina mashaka magaidi wanweza kuvamia huko kwahiyo ngoja tuupeleke nyasa au unasemaje

    ReplyDelete
  2. Wivu homa uoni kama hapo umependeza. Halafu ungejua ninavyopata wageni kuja kuangalia eeeeehhhh

    ReplyDelete
  3. jana nilikuwa na naongea na mabosi wapya wa mafia,nikaorodhesha blogu hii lazima ivamiwe naona tuna njaa sana u unasemaje mwenyewe

    ReplyDelete