Nilifikiri labda ndizi zinastawi kule Madaba (Matetereka) pia Mbeya. Kumbe ni uongo tu hata hapa Sweden zinastawi safi sana. Haha haha, mtajiju sasa sina taabu tena ya kutamani matunda ya nyumbani (kunyumba) kilugha. Wivu eeehh!! tutaonana
Na; Yasinta Ngonyani
hizo ndizi yaani nashindwa hata kula ugali na mpuchulela yaani...halafu hebu nikumbushe zinatwa ndizi aina gani vile...
ReplyDeletekwani huo ugani ni wa (kisuma)Kwani ungekuwa na samaki ungemezeka tu. Nafikiri zinaitwa kaporota je ni kilugha au.
ReplyDelete