Sunday, July 6, 2008

JULAI 6, 2008 MJI WA KARLSTAD


Hapa ni nyumba ya kulala wageni msije mkafikiri ni meli ile ya mv Songea inaende Mbamba by na Itungu.
Na ; Yasinta Ngonyani

2 comments:

  1. watu wanatanogea na kuona hilo jumba ndilo kasri lako.Au ni jumba lako unatuficha nini.Ngoja nipige ramli kidogo......eehh nitaje nisitaje?nakuuliza wewe....aaah kumbe naandika...aise jumba limenikuna sana ila naogopa kulala humo sitokuwa na amani bora kulala zile ghorofa za nyasa zuri wala hazina umeme.....lakini...basi nimepiga ramli

    ReplyDelete
  2. Ila sio kazi kwa kufanya usafi kwani si unaona ni ghorofa ndogo sana.

    ReplyDelete