Sunday, July 6, 2008

JULAI 6, 2008 BUSTANI YANGU

Nimeona afadhali niadhishe bustani ya matunda ya nyumbani kuliko kununua kila siku yanayosafirishwa kutoka mbali au ya kopo. Natumaini wote mnajua hili ni tunda gani. Karibuni tule.




Na; Yasinta Ngonyani

2 comments:

  1. aaaaaah ooooiiiii ...sicheki ila imenikuna sana hii picha inanikumbusha wwakati ule ukichuma bila ruhusa ya baba basi ni kipigo au huli chakula iwe cha mchana au jioni upo hapo....

    ReplyDelete
  2. haya bwana nikuletee ungo nini ili uchume kwa ruhusa kabisa au unataka kazi ya kumwagilia ili uibe moja moja na kula.

    ReplyDelete