Thursday, July 3, 2008

JULAI 3,2008 KOROSHO















Korosho ni zao mojawapo Tanzania. Wakati nilikuwa mdogo nilikuwa nachezea korosho yaani zilikuwa nyingi sana. Nilikuwa naokota na kuchoma pia kupasua na kupata ile korosho. lakini sasa hapa ni ghali mno kununua korosho kilo moja ni shilingi 28000. Nimeacha kula sasa.




Na; Yasinta Ngonyani
Posted by Picasa

2 comments:

  1. mmhh imenikuna sana kwni nakumbuka sana wakati ule ukikosa basi unamuomba mwenzako unambembeleza hadi unatamani kulia lakini kisa tu ni kuchoma na kula.mimi napenda mno mabibo yake kuliko korosho yenyewe.

    ReplyDelete
  2. oooh mabibo nayatamani kweli kwani nilisahau kabisa hili jina. ila yasipoiva sawax2 yanakuwa na ukakasi au

    ReplyDelete