Monday, July 7, 2008

JULAI 7, 2008 MAHINDI


Pia hata shamba la mahindi ninalo nitawatumia kadi wakati wa mavuno kama sitamaliza yote kula, kuchoma.
Na; Yasinta Ngonyani

2 comments:

  1. haya we watamanishi watu ..lakini lazima nisem ukweli naandaa msafara wotetunakuja kujaa kwako si unajua wanyasa tulivyo..hayo mahindi tutamaliza kwa dakika mbili tena...aaaah nilisahau kumbe yapo shambani...ebu tuone kuna njecheli?ngoja tusibiri hadi yatakapozaa

    ReplyDelete
  2. Karibuni sanaaaaaaaaaa hakuna shida ni shamba kubwa halafu mtafurahi zaidi kwani nin a shamba la mihogo pia (Njecheli ni nini)

    ReplyDelete