Monday, July 7, 2008

JULAI 7,2008 KILIMANJARO


Nimechoka kulima, nimeenda nyumbani kwanza likizo na bila kusahau nimetembelea mlima wetu mrefu. Sisemi sana kwani leo hali yangu si nzuri!!!!!!!
Na: Yasinta Ngonyani

1 comment:

  1. Pamoja na kuishi Tanzania lakini sijawahi kutembelea huu mlima hata sijui inakuwaje...lakini ipo siku

    ReplyDelete