Dakika, saa, siku, wiki, miezi pia miaka imepita bado sijapata jibu kwa nini baadhi ya dini kwa mfano waislam wanaoa wake wengi. Au pia kwa nini watu wanaoa wake wawili? Kwa nini wanawake wasiolewe na wanaume wengi au wanaume wawili. Kuna tofauti gani naomba wasomaji mnisaidie kufafanua kwani kichwa kinaniuma sana. Inaonekana kama sisi wanawake hatuna thamani au?
Na; Yasinta Ngonyani
a nikuchekeshe!kila siku nawaambia watu kwamba hii dunia ni ya wanaume.Nawe unabisha utajiju....bibie{natania}.
ReplyDeletekwa kweli inafikirisha sana lakini inaonekana kuna jambo mahali lilifanyika sijui wapi.
tusaidiane