Sunday, June 29, 2008

JUNI 29,2008 VIATU (SANDOS)


Nimekumbuka nilipokuwa mdogo nimevaa kweli hivi viatu(makubasi) ila mwaka jana niliona watu wengi wanavaa imekuwa kama ni mtindo kwa sasa . Ila miaka ile ukionekana umevaa basi watu walisema huyu ni fukara si mnajua tena.

1 comment:

  1. Jamani mbona huku nyasa ndiyo vaitu vyetu tena ukivaa utasikia watu wanaambizana tena kwa suati kubwa eti.....wekaaa gogooooo....
    yaani wanafananisha na magari ya isuzu.Hata wakisema jana nilikuwa naselebuka nayo mitaani wala sina soni mwezenu

    ReplyDelete