MAISHA NA MAFANIKIO

Thursday, March 25, 2021

TUMALIZE MWEZI HUU WA TATU KWA UJUMBE HUU UFUATAO:-

›
UHURU WA NCHI NI SAWA NA AFYA YA MWILI/MWILINI. NAPENDA KUWATAKIENI AFYA NJEMA NA TUUMALIZE MWEZI HUU SALAMA. PAMOJA DAIMA! KAPULYA WENU.
Sunday, February 21, 2021

NAPENDA KUWATAKIENI WOTE JUMAPILI HII YA KWANZA YA KWARESMA

›
JUMAPILI NJEMA!
Monday, January 18, 2021

TUANZE MWAKA HUU 2021 KWA MTINDO HUU....USIDHANI NI UPUPU ...HIKI NI CHAKULA NDUGU ZANGU

›
PAMOJA DAIMA
Monday, December 21, 2020

UJUMBE WA LEO

›
ISHI NA WATU VIZURI SIKU HIZI DAMU SIO NZITO TENA! Nawatakieni siku njema!
1 comment:
Thursday, November 26, 2020

LEO MWENZENU NIMEKUMBUKA SANA HII SEHEMU...MAANA NDIKO NILIKOZALIWA

›
NIWATAKIENI SIKU NJEMA NA KUMBUKENI KWAMBA PAMOJA DAIMA!
Sunday, November 8, 2020

MWENZENU LEO NIMETAMANI MNO MLO HUU VITUMBUA....NIWATAKIENI JUMAPILI NJEMA!

›
JUMAPILI NJEMA SANA NDUGU ZANGU KUMBUKENI SISI SOTE NI WATOTO WA BABA MMOJA.
Monday, October 26, 2020

TUFANYA HII IWE PICHA YA WIKI HII...SEHEMU FULANI TANZANIA

›
Nimeipenda hii mandhari nzuri ..kuingalia tu yavutia. Kwa hiyo nafikiria je nikiwa/ukiwa hapo iitakuwaje...mmhh nawaza tu kwa sauti! TUPO PA...
Friday, October 2, 2020

NAPENDA KUWATAKIENI MWISHO MWEMA WA JUMA NA MWANZO MWEMA WA MWEZI HUU WA KUMI KWA BURUDANI HII

›
 <iframe width="560" height="315" src="https://www.youtube.com/embed/amL_MTCsOms" frameborder="0"...
Friday, September 4, 2020

HII NI PICHA YA WIKI :- HAPA NIPO NA MARAFIKI TUPO SHAMBANI KWA WAKULIMA KUNUNUA MBOGAMBOGA BILA KUSAHAU MAHINDI

›
  Nadhani hapo mwamuona kapulya wenu ... msione tumevaa makoto baridi imeanza  Hapa kapulya anashangaa mmea fulani ni raha sana kuwenda sham...
2 comments:
Saturday, August 29, 2020

JUMAMOSI YA LEO NIMETAMANI SANA UGALI NA KISAMVU...

›
Tatizo sijui wapi kupata kisamvu ...ila unga ninao. Mhhhh   
Sunday, August 16, 2020

ZILIPENDWA...MIAKA HIYOOOO HUKO MATETEREKA /WILIMA

›
 AMA KWELI LEO NIMEKUMBUKA MBALI SANA ...WATU TUMETOKA MBALI
2 comments:
Sunday, July 12, 2020

PALE UNAOKOSA SEHEMU YA KULIMA MBOGA MBOGA/BUSTANI USIKATE TAMAA TUMIA NDOO AU MAKOPO KAMA NILIVYOFANYA MIMI HAPA

›
Hapa ni Nyanya, mchicha, Tangawizi  Malimao, parachichi nk. Karibu tutaanza kula nyana mchicha nishakula mara nyingi tu
Friday, July 3, 2020

MWAMKUMBUKA HUY?

›
MWAMFAHA MU HYUYU DAAD ZILIENDWA
1 comment:
Saturday, June 20, 2020

JIONI YA JUMAMOSI YALEONIMEONA SI MBAYA KAMA TUKITEMBELEA KWETU MBAMBA BAY

›
Angalia mandhari ilivyo nadhani ukiwa hapa hutataka kutoka maana ni fukwe nzuri sana. Niwatakieni JIONI YA JUMAMOSI HII IWE YENYE UTULIVU ...
Sunday, June 14, 2020

FAMILIA MBILI ZINAPOKUTANA KWA CHAKULA CHA USIKU

›
Ilikuwa jana 13 /6 kijana Erik kamaliza kozi yake ya jeshi .....
2 comments:
Wednesday, June 3, 2020

NAPENDA MAUA....NA SASA NDIO MSIMU WAKE

›
Nawatakieni  Jumatano hii iwe yenye furaha na amani
Monday, May 25, 2020

USAFIRI WETU...AKINA MAMA TUNAWEZA

›
Nimeona tuanza wiki hii kinamna hii  maana nadhani leo hap ni siku ya akina mama...kwa hiyo napenda pia kuwapa shukrani akina mama wote. T...
Monday, May 11, 2020

UPUPU - MANGATUNGU CHAKULA CHA ASILI CHA WANYASA/WANGONI

›
JE? Wewe  una chakula cha asili katika asili yako?
2 comments:
Friday, May 8, 2020

LEO NIMESHINDA NATAMANI HIVV VYAKULA MAANA NDIVYO VILIVYONIKUZA

›
Hapa ni mahindi ya kuchoma eeeh bwana weee acha tu  Dagaa  na mboga maboga ni mboga tamu sana... .....na bila kusahau ugali yaani...
Thursday, April 16, 2020

NIMETUMIWA ZAWADI KUTOKA KWA KAKA YANGU ...KUTOKA MBINGA

›
Yaani mpaka raha .....utakula ulivyopanda... hii ni kazi ya mikono ya kakangu Philo huko Mbinga ni ndizi kama muuonavyo kwenye picha p...
4 comments:
Monday, April 13, 2020

LEO TUTEMBELEE MBAMBA BAY......

›
Hapa ni ukumbi wa starehe hapa Mbamba bay kwetu...karibuni 
Tuesday, April 7, 2020

WIMBO WA WIKI..

›
PAMOJA DAIMA!
Saturday, March 28, 2020

TUMALIZE NA HII WIKI TUKIWA TUKITEMBELEA MAZINGIRA YA MAKAZI YANGU/YETU HAPO BAADAYE

›
HAPA NI BAADHI YA MINAZI  YASEMEKANA NI MINAZI YA KISASA KWA HIYO KARIBUNI TUTAKULA NAZI:-)  HAPA NI NDIZI ...SI MWAJUA TENA BILA ...
Monday, March 16, 2020

TUANZE WIKI HII NA PICHA HII:- IWE PICHA YA WIKI

›
Nimepemda haya mazingira imenikumbusha niliokuwa msichana mdogo kule kwetu KINGOLE/LITUMBANDYÒS  wakati nilipokuwa naenda kisimani kuteka...
Friday, March 6, 2020

PICHA: MDADA YUPO KATIKA POZI LA KUSHUKA NGAZI!

›
Wiki moja iliyopita nilikuwa nimejificha sehemu fulani ili kupumzisha akili na hii ni moja ya picha nilizopiga. Napenda kuwatakieni m...
‹
›
Home
View web version

Kuhusu mimi

My photo
Yasinta Ngonyani
Sio tofauti na wewe Au?
View my complete profile
Powered by Blogger.