Friday, September 4, 2020

HII NI PICHA YA WIKI :- HAPA NIPO NA MARAFIKI TUPO SHAMBANI KWA WAKULIMA KUNUNUA MBOGAMBOGA BILA KUSAHAU MAHINDI

 

Nadhani hapo mwamuona kapulya wenu ... msione tumevaa makoto baridi imeanza 
Hapa kapulya anashangaa mmea fulani ni raha sana kuwenda shambani na kuchuma mbogamboga na mkulima kazi yake ni kupanga bei tu...:-)

2 comments:

  1. Sie ndo tumemlaiza kuvuna yetu ya maharagwe na nyanya.

    ReplyDelete
  2. Hongera sana. Mie hapa kwangu tumebuna mchicha na aina nyingone za mbogamboga, vitinguu saumu/maji. Nyanya na zabibu bado kidogo

    ReplyDelete