MAISHA NA MAFANIKIO

Saturday, June 29, 2019

NAWAKARIBISHA HAPA KWETU RUHUWI/SONGEA TULE VYA ASILI

›
 Matunda ni kutoka nje na kuchuma, kama muonavyo ni papai, passion, tunda damu, machungwa na ndizi. Raha tupu-:) Chai kwa vitumbua...ni...
Monday, June 24, 2019

TUANZE HII WIKI NA PICHA HII KUWA IWE PICHA YA YA WIKI ...

›
Pamoja na kuwa amebeba mtoto na mzigo kichwani lakini sura yake ni ya furaha ...nimeipenda hii picha...
Monday, June 17, 2019

HODI HODI NYUMBANI ....RUVUMA YITU YABWINA

›
Kwetu ruvuma ni kuzuri nje kuona na mahindi  mje kula vyakula  vya asili .  KARIBUNI SANA MAANA MIE NISHA KARIBIA:-)
1 comment:
Wednesday, June 12, 2019

NIMEAMKA NA WAZO HILI LEO

›
Nawaza kwa sauti kwa nini mifuko ya plastiki inakatazwa lakini sio viti vya plastiki. Maana ukiangalia hiki kiti kina ubora zaidi kuliko c...
Sunday, June 9, 2019

TUFANYE NYUMBA ZETU KUWA "KIJIWE" CHA MARAFIKI WA WATOTO WETU

›
nimekumbuka enzi zilee Siku zote fungua milango kwa watoto kufurahi nyumbani kwako na watoto wenzao na utawasaidia kuepuka mengi kwa d...
Wednesday, May 29, 2019

VYAKULA/MILO AIPENDAYO KAPULYA

›
Chakula cha asubuhi mayai, soseji na vinginevyo na bila kusahau matunda kama papai, nanasi na  zabibu. Bila kusahau chai(chingambwe) yaan...
Monday, May 20, 2019

HUU NI UJUMBE WA JUMATATU YA LEO.......

›
Wakati mwingine unaweza kupata msaada kwa mtu ambaye hukuwahi ku/mtegemea au ulimdharau, hivyo ni kheri kuishi vizuri na kila mtu kwa kuwa...
Friday, May 17, 2019

KWETU RUVUMA NI KUZURI VYAKULA VINGI SANA HASA VYA ASILI....KARIBUNI

›
Maembe sasa yanaelekea kwisha ila da ni uhondo juu ya uhondo Hapa ni masuku, matunda pori/asili sisi wangoni huyaita pia MAPOTOPOTO ...
Wednesday, May 8, 2019

BADO NIPO KWETU RUVUMA NAFAIDI HIVI VYAKULA VYA ASILI

›
Hapa ni mchanganyika wavyakula nivyopendavyo yaani mahindi ya kuchemsha pamoja na maboga/mapondo na  halafu njugu.... ......na hapa ni ...
Monday, April 29, 2019

TUANZE JUMATATU HII YA MWISHO WA MWEZI HUU WA NNE NA KUTEMBELEA KWETU RUVUMA...

›
JUMATATU NJEMA!
Friday, April 19, 2019

TUWE WATULIVU KWA SIKU HII YA IJUMAA KUU HUKU TUKIFSNTA MAOMBI. ...

›
Bwana yetu Yesu anateseka msalabani kwa ajili yetu. Ijumaa kuu iwe yenye amani!
Thursday, April 11, 2019

HAPA NI VAZI LA WIKI HII CHUICHUI NA NYEUSI

›
Mdada yupo katika pozi fulani hivi kwa kulifurahia vazi laki  ...hapa kaambiwa asilale/sinzia   Nachukua nafasi hii kuwatakieni jum...
1 comment:
Friday, April 5, 2019

NAPENDA KUWATAKIENI WOTE MTAKAOPITA HAPA IJUMAA NJEMA .....

›
....pia mwisho wa juma kwa ujumla kwa mlo huu. UJUMBE:- Maisha sio kama mshumaa , maisha ni kama mwenge. PANAPO MAJALIWA TUTAONANA NAWATA...
Monday, April 1, 2019

TUANZE MWEZI HUU WA NNE TAREHE HII MOSI MWAKA 2019 NA MLO HUU WA DAGAA

›
Duh! Yaani watu wanajua kutamanisha. Niwatakieni mlo mwema wenye afya...
Tuesday, March 26, 2019

LEO NIMETUMIWA ZAWADI HII NA RAFIKI YANGU

›
Baada ya kushukuru nimemlaumu sana kwa kunitamanisha.....ahsanten  kwa zawadi rafiki yangu umenikumbusha kwetu Lundo/nyasa
Saturday, March 23, 2019

ASIFIWE TUTAMKUMBUKA DAIMA!

›
AHSANTE KAKA JACOB MAHOLIJA KWA KUMBUKUMBU  HII NZURI  NIMEONA NIIWEKA HAPA KIBARAZANI KWA VILE LEO NI MIAKA  9 SASA  IMETIMIA  HAUPO ...
3 comments:
Friday, March 22, 2019

IJUMAA YA LEO TWENDENI NAMI MPAKA KWETU KUSINI TUSIKILIZE NGOMA YETU YA LIZOMBE/KITOTO - NI SISI WANGONI KUTOKA rUVUMA

›
KARIBUNI  SANA..... PANAPO MAJALIWA  TUTASIKILIZA WIMBO MWINGINE WIKI IJAYO ..Kapulya wenu!
2 comments:
Friday, March 15, 2019

ZILIPENDWA- MOROGORO JAZZ BAND ATT RTD DAR ES SALAAM

›
NAWATAKIENI MWISHO MWEMA WA JUMA . UJUMBE WANGU WA LEO:- AMANI, UPENDO NA FURAHA NDIYO VIVWE NGUZO YETU. Kapulya wenu.
Wednesday, March 13, 2019

PALE UNAPOSUBIRI KUSIFIWA!

›
Unapofanya jambo lolote, fanya tu kama nafsi yako inakubali na inafurahia jambo hilo. Usifanye jambo kwa kutegemea kusifiwa. Kumbuka usip...
Friday, March 8, 2019

HISTORIA YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

›
WANAWAKE TUNAWEZA!
Monday, March 4, 2019

BLOG YA MAISHA NA MAFANIKIO IMETIMIZA MIAKA KUMI NA MOJA MWAKA HUU TAREHE 23/2/2019

›
Hapa ni mwenyewe mamaMaisha na Mfanikio AKA Kapulya Blog ya Maisha na Mafanikio kama mchezo mwaka huu  yatimiza miaka kumi na  (11). ...
Monday, February 25, 2019

MLO WANGU WA JIONI YA LEO UTAKUWA HUU NA CHA KUTEREMSHIA NI MAJI...

›
Karibuni tujumuike ndugu/rafiki zangu ni samaki kwa viazi....Nimekumbuka sana kule nilikozaliwa Nyasa ila kule kwetu kungekuwa na ugali wa...
Wednesday, February 13, 2019

UJUMBE WA LEO- TOFAUTI BAINA YA SHULE NA MAISHA.....

›
Shuleni unajifunza somo/masomo na baadaye unapata mtihani. LAKINI- Katika maisha , kuna mitihani ambayo tunajifunza masomo. PANAPO MAJALIWA...
2 comments:
Tuesday, February 12, 2019

KUMBUKUMBU: NI SHAIRI LA SIKU NYINGI SANA NILIIMBA NIKIWA DARASA LA NNE

›
Nililiimba kipindi niko shule ya msingi ,nakumbuka ni darasa la nne na mpaka leo takribani miaka 30 zaidi bado nalikumbuka. Bila shaka sh...
Monday, February 11, 2019

HIZI ZITAKUWA PICHA ZA MWZI HUU WA PILI

›
Nimeamka asubuhi ya leo na nikawa na hamu ya kula yai  kwa kawaida huwa napenda kula yai moja tu lakini lakini leo macho yangu yakakutana...
‹
›
Home
View web version

Kuhusu mimi

My photo
Yasinta Ngonyani
Sio tofauti na wewe Au?
View my complete profile
Powered by Blogger.