Saturday, June 29, 2019

NAWAKARIBISHA HAPA KWETU RUHUWI/SONGEA TULE VYA ASILI

 Matunda ni kutoka nje na kuchuma, kama muonavyo ni papai, passion, tunda damu, machungwa na ndizi. Raha tupu-:)
Chai kwa vitumbua...nimekumbuka enzi hizo ili kupata pesa ya kalamu  basi tulikuwa tukipika vitumbua.

No comments:

Post a Comment