MAISHA NA MAFANIKIO

Showing posts with label afrika nyumbani. Show all posts
Showing posts with label afrika nyumbani. Show all posts
Tuesday, September 17, 2013

UJUMBE /SWALI WA/LA LEO!!!

›
Kama huwezi kujisamehe mwenyewe na uliyoyafanya, utawezaje kuwasamehe wengine? NAWATAKIENI WOTE JUMANNE NJEMA SANA NA KUMBUKENI TUPO PAMOJA...
3 comments:
Wednesday, October 31, 2012

TUTEREMKE KIDOGO MPAKA SONGEA MJINI SASA:- TATIZO LA MAJI NA PIA MAFUTA KUADIMIKA!!!

›
Tatizo la maji Songea mjini, ndoa moja ya maji shilingi 500....   Na hapa ni madereva wa pikipiki katika foleni ya mafuta hapa ni ki...
3 comments:
Thursday, November 3, 2011

Kijiji cha Lilondo wilayani Songea mkoani Ruvuma kinaoongoza kwa kuwa na ndizi nyingi

›
Hapa ni aina mbalimbali za ndizi ambazo zinapatikana katika kijiji cha Lilondo wilayani Songea mkoani Ruvuma, ndizi hizo zimetoa ajira kwa w...
13 comments:
Thursday, October 20, 2011

KATIKA KUWAZA NIPIKE NINI JIONI HII? GHAFLA NIKAJIKUTA NATAMANI KWELI CHAKULA HIKI...

›
..ugali na kumbikumbi/mbulika ambacho mara ya mwisho nilikula 2009 nilipokuwa Lundo kando ya ziwa Nyasa . Mwaka huu nilipokuwa nyumbani msi...
12 comments:
Tuesday, October 11, 2011

USIKU/MCHANA MWEMA AU LABDA JIONI NJEMA WANDUGU !!! MTU KWAO!!!

›
›
Home
View web version

Kuhusu mimi

My photo
Yasinta Ngonyani
Sio tofauti na wewe Au?
View my complete profile
Powered by Blogger.