LEO NI SIKU KUBWA SANA KWETU WAKRISTO NA WATU WOTE WENYE MAPENZI MEMA KWANI BWANA WETU YESU KRISTO AMEFUFUKA KWELI KWELI AMESHINDA MAUTI YA MSALABA ALELUYAAAAA!!!
BASI SOTE TUIMARIKE KATIKA IMANI KWA KUFUFUKA KWAKE BWANA WETU YESU KRISTO KWANI AMESHINDA MAUTI YA MSALABA, TUJIKUMBUSHE KWA PICHA NZURI NA ZENYE UJUMBE SAFI KWAKO,JIRANI NA RAFIKI YAKO.
KABURI AMBALO BWANA YESU ALIZIKWA LI WAZI KWELI MKOMBOZI AMEFUFUKA ALELUYA.
BWANA YESU ANATOKA KABURINI NI USHINDIMKUBWA SANA KWETU. AMINI KWAMBA YESU KRISTO AMESHINDA MAUTI NAWE
UTAKUWA HURU MOYONI MWAKO
BWANA YESU MFUFUKA AJIZIHIRISHA KWA WANAFUNZI WAKE, AMINI KWAMBA YESU KRISTO YU HAI NAWE UTAPATA UHAI MOYONI MWAKO.
EE! BWANA YESU KWA UFUFUKO WAKO NIFANYE NIWE CHACHU YA MABADILIKO KATIKA JAMII YANGU NA KATIKA FAMILIA YANGU. AMINA
EE!BWANA YESU KRISTO WEWE NDIO ALFA NA OMEGA, NAOMBA BWANA UNIKUMBUKE KATIKA UFALME WAKO ILI NIWEZE SIKU MOJA
KUJUMUIKA NA WATATIFU NA MALAIKA MBIGUNI. AMINA